Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Meya Jacob afunguka baada ya kudaiwa kupigana katika uchaguzi DSM

on

Leo January 3, 2018 umefanyika uchaguzi wa Naibu Meya wa Jiji la Dar es Salaam ambapo katika uchaguzi huo imeelezwa mgombea wa CUF ameshinda lakini kuliibuka fujo ambazo zimemuhusisha Meya wa Ubungo.

AyoTV imempata Meya wa Ubungo Boniface Jacob ambaye amefunguka na kuelezea mkasa huo mzima jinsi ulivyotokea katika video hii hapa chini.

MEYA WA TEMEKE CHAUREMBO ADAI KUSHAMBULIWA KWENYE UCHAGUZI DSM

BAADA YA MAMEYA WA UBUNGO NA TEMEKE KUZICHAPA, PROF. JAY AMEANDIKA  HAYA

Soma na hizi

Tupia Comments