Premier Bet

Habari za Mastaa

Mzee Majuto kaumizwa na hiki kuhusu majumba ya cinema Tanga

on

Mzee Majuto ni mchekeshaji wa longtime kwenye sanaa ya filamu Tanzania sasa leo August 10, 2016 amekubali kukaa na millardayo.com na kueleza vitu ambavyo hakupendezwa navyo kupitia mkoa wake kuhusu majumba ya Cinema.

Staa huyo mkongwe wa filamu aliipata heshima millardayo.com & Ayo TV kayaongea haya>>>>Kilio changu mimi kule kwetu kuna Magic Cinema ambayo sasa hivi imegeuzwa kuwa Kanisa, halafu kuna Tanga Cinema wanauza Majani ya Chai yaani karibia zote

Kumeingiliwa hakuna kabisa majumba ya cinema, hii inatoka kwasababu watu wamezichoka zile movie za nchi za nje kwahiyo huu ndio muda wa kurudisha filamu zetu za nyumbani’– Mzee Majuto

Msikilize zaidi Mzee Majuto kwa kubonyeza play hapa chini.

ULIIKOSA HAYA MANENO YA KEISHA KUHUSU UKIMYA WAKE BONGO FLEVANI BASI ISIKILIZE HII AUDIO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments