Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

‘Wanafunzi wa Vyuo kushiriki katika siasa ni haki yao’ Makamu Mwenyekiti UVCCM

on

Katika Mahafali ya Vyuo Vikuu mkoa wa DSM Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Tabia Maulid Mwita amewapongeza Vijana wa Vyuo na Vyuo Vikuu kwa kuunga mkono jitihada za Serikali ya Chama cha Mapinduzi na kuwapatia vyeti Wahitimu 556 katika mahafali ya tano ya Vyuo Vikuu mkoa DSM.

Tabia amesema wanaangalia njia nzuri ya kuwawezesha vijana wa vyuo vikuu ili waweze kushiriki katika masuala ya siasa.

LIVE MAGAZETI: Zengwe laibuka CCM, Polisi atekwa na wasiojulikana

Soma na hizi

Tupia Comments