Top Stories

Siku 7 baada ya kuanza kazi RC Mpya Geita kaungana na wananchi kushika jembe

on

Siku saba tu baada ya kuanza kazi Mkuu Mpya wa Mkoa wa Geita Eng. Robert Gabriel ameamua kuutumia muda wake kuungana na Wananchi wa kata ya Ilyamchele kuchimba msingi wa shule ya Ilyamchele katika wilaya ya Chato.

Alitoa maagizo pia kwa uongozi wa eneo hilo kuwa watafute eneo la jingine ndani ya wiki moja ili uanze ujenzi wa shule nyingine lengo kuu ni kuhakikisha kuna madarasa ya kutosha katika mkoa wa Geita ukizingatia kwamba kwa sasa kuna upungufu wa vyumba vya madarasa 8100.

Ulipitwa na hii? Waziri Mwijage afunguka baada ya Rais Magufuli kumchallange kuhusu viwanda

Soma na hizi

Tupia Comments