Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEOMPYA: Kutoka The Industry, Wildad ametuletea ‘Get it on’

on

Kwa mara ya kwanza baada ya Label ya The indusrty kutambulisha wasanii wao, Leo November 11 Wildad kutoka The Industry, ameamua kutuletea video yake mpya ya wimbo inayoitwa Get it on, Karibu uitazame na usisahau kuniachia comment yako mtu wangu, Wildad atapita kuisoma

Kama Ulikosa hii ya nyumba ya milioni 700 wanayoijenga Navy Kenzo unaweza kubonyeza Play kuitazama hapa chini>>>

Unajua Mpango wa Navy Kenzo kuhusu kusign msanii mkubwa..vigezo wanavyoangalia?>>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement