Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

Audio: Vifo vya watoto wawili vinavyohusishwa na imani za kishirikina Shinyanga

on

Mtu wangu leo August 31 2016 Kupitia Hekaheka ya Clouds FM Geah Habib ametuletea Hekaheka iliyotekea Shinyanga ikiwa ni muendelezo wa Hekaheka ya August 30 2016, Hekaheka ambayo imezichukua headlines baada ya watoto wawili kuingiliwa kinyume na maumbile na kupoteza maisha ,  vifo ambavyo vinahusishwa na imani za kishirikina

Watoto ambao walifariki baada ya kuuguzwa kwa wiki mbili,  waligundulika na madaktari walikuwa wamefanyia kitendo cha kuingiliwa kinyume na maumbile hali ambayo ilisabaisha kuuguzwa kwa wiki mbili kabla ya vifo vyao.

Nahisi kuna imani za kishirikina kwenye vifo vya watoto hawa maana hata vifo vyao vilianza kwa misusuko, tunaishi kwa kweli kwa vitisho sana yaani kwenye hii nyumba kuna wakati tunasikia kuna vitu vinatembea muda mwingine tunaitwa majina nyakati za usiku‘>>>Mama mdogo

ULIKOSA  HII YA MR BLUE ALIVYOTUMBUIZA KWENYE TAMASHA LA FIESTA MULEBA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement