Tangaza Hapa Ad

Michezo

AUDIO: Edo Kumwembe kaeleza anachoamini kimemshawishi Toure kuomba msamaha

on

Siku 44 baada ya kocha wa klabu ya Manchester City atangaze sharti kwa wakala wa kiungo Yaya Toure kuwa kama anataka kumuona Toure akiwa sehemu ya kikosi cha Manchester City na kupewa nafasi sawa na wachezaji wengine ni lazima aombe radhi.

Wakala Dimitri Seluk alitakiwa na Pep Guardiola kuiomba msamaha Man City kupitia vyombo vya habari kwa maneno yake alioyatoa ili mteja wake Yaya Toure arudishwe kikosi, Toure ameamua kuomba msamaha kwa niaba yake na wakala wake.

millardayo.com imempata Edo Kumwembe ambaye ni mchambuzi wa masuala ya soka azungumziea ishu ya Toure kuomba msamaha ” Toure ameomba msamaha unajua licha ya kuwa analipwa lakini wakati mwingine mtu hawezi kujisikia vizuri kula mshahara ambao hautumikii, kweli nafasi yake ndogo na ataondoka Man City lakini ni lazima apate nafasi ya kucheza na kuonekana”

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement