Tangaza Hapa Ad

Michezo

DoneDEAL: Yanga imemsajili Mzambia

on

Timu ya Dar es Salaam Young Africans leo December 1 2016 imetangaza kumsajili kiungo raia wa Zambia Justine Zulu, kiungo huyo amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili.

Yanga imemsajili Justine Zulu kutokea timu ya Zesco United ya Zambia, kwa taarifa hiyo sasa ni rasmi Justine Zulu ataungana na kocha wake wa zamani ambaye amejiunga na Yanga hivi karibuni George Lwandamina.

img-20161201-wa0012

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement