Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Kauli ya Wawa kuhusu kujiunga na El Merreikh ya Sudan

on

Beki wa kati wa kimataifa wa Ivory Coast aliyekuwa anaichezea klabu ya Azam FC ya Dar es Slaam Tanzania Pascal Wawa, November 14 2016 aliripotiwa kujiunga na El Emerreikh ya Sudan, leo November 15 2016 amerudi Dar es Salaam na kuweka wazi kuhusu dili hilo ambalo taarifa zilianza kuenea katika mitandao baada ya picha yake kuonekana.

“Nilikuwa nikiwasubiri Azam FC kwa muda mrefu ili tuongeze mkataba lakini kulikuwa hakuna mafanikio, nilikuwa Nairobi natafuta visa kwa ajili ya familia yangu na mimi, nataka kwenda Ufaransa kwa mapumziko nikiwa Nairobi El Merreikh wakanipigia simu wakanipa ofa nzuri nimesaini mkataba wa awali”

ALL GOALS: ZIMBABWE VS TANZANIA NOVEMBER 13 2016, FULL TIME 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement