Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Waziri Nape alivyotembelea kwa mara ya kwanza TFF, alichokiamua?

on

Jumamosi ya Septemba 10 2016 waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Nape Moses Nnauye alitembelea kwa mara ya kwanza makao makuu ya shirikisho la soka Tanzania TFF toka ateuliwe kuwa waziri wa wizara hiyo, Nape ametembelea TFF na kuagiza kufanyika uchunguzi wa mapato pamoja na rasilimali watu pamoja na kuuliza kama kweli watumishi hawajalipwa mishahara yao.

“Unajua suala la rasilimali ndio linapigiwa kelele na watu walio wengi, kwani wanadhani mnamabilioni hapa lakini ukiona maneno yanakuwa mengi inabidi utafute ufumbuzi, niliongea na msajili wanayo mamlaka ya kufanya ukaguzi wa kina kupitia mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuanzia rasilimali fedha na rasilimali watu”

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement