PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

AZIMIO LA ZANZIBAR: Zitto Kabwe aeleza watakavyolitekeleza mwaka 2019 (+video)

on

Kiongozi wa Chama cha Upinzani cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe, ameelezea jinsi Vyama vya Upinzani vitakavyotekeleza Azimio lao la pamoja Juu ya Ukiukwaji wa Demokrasia nchini.

Zitto amesema kila senti ya nchi inapaswa kuidhinishwa na Bunge, hivyo Vyama vya Upinzani kwa pamoja vitaangalia namna ya kutekeleza maazimio hayo ndani ya mwaka 2019 ambapo hawatakubali kuona ukiukwaji na uminywaji wa Demokrasia ukifanyika.

LIVE MAGAZETI: Vyama Sita vyatoa msimamo mzito, CCM yawasamehe wasaliti

Soma na hizi

Tupia Comments