Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

BreakingNews

BREAKING: Picha 13 za uokoaji kwa waliofukiwa mgodini Geita

on

Taarifa zilizoripotiwa kutokea mgodini Geita kuhusu Wachimbaji 15 waliofukiwa na kifusi cha udongo kwa zaidi ya siku tatu zinasema kwamba wachimbaji hao wote 15 wameokolewa wakiwa hai na utaratibu mwingine wa huduma ya kwanza unaendelea, picha za tukio ndio hizi

VIDEO: Bonyeza play hapa chini kuona jinsi Wachimbaji hao walivyofanikiwa kutuma taarifa kusema wako hai kutoka chini walikofukiwa.

ULIPITWA? Tazama kwenye hii video hapa chini Makonda wa Tanzania walivyoonyesha uwezo wao mbele ya Rais Magufuli

Soma na hizi

Tupia Comments