Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Masharti waliyopewa wakurugenzi wapya wa Rais Magufuli

on

September 13 2016 zoezi la kuapishwa kwa wakurugenzi 16 walioteuliwa na Rais John pome Magufuli ulifanyika katika ofisi za TAMISEMI Dodoma mbele ya Waziri wa nchi ofisi ya Rais TAMISEMI George Simbachawene pamoja na Waziri wa nchi ofisi ya Rais utumishi na utawala bora Angellah Kairuki.

Katika maelezo yake Waziri Kairuki hakuacha kuwapa maelekezo ya kuzingatia kwa Wakurugenzi hao ikiwa ni pamoja na kujiandikisha taarifa zao kamili ikiwemo mali wanazomiliki. Unaweza kumsikiliza Waziri Kairuki kwenye hii video hapa chini…

ULIMIS KAULI YA SERIKALI KUHUSU ASKARI WANAOFANYA MAZOEZI BARABARANI

Soma na hizi

Tupia Comments