Tangaza Hapa Ad

AyoTV

BUNGENI: Vipi kuhusu Wanafunzi wanaopewa mimba na kufukuzwa

on

Frebruary 8 2017 mbunge wa Urambo Margaret Sitta alisimama bungeni kulalamikia hatua ya serikali kuweka sheria ya kuwafukuza shule wanafunzi wanaopewa mimba na kutaka serikali ibadili kifungu hicho cha sheria, Naibu Waziri wa Elimu, sayansi na teknolojia Eng. Stella Manyanya kwenye hii video hapa chini..

VIDEO: Waziri Muhongo kuhusu wanaosema Serikali inasambaza gesi inayolipuka 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement