Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Ikiwa ni mwaka mmoja leo toka Sajuki afariki dunia,hiki ndicho alichokiandika Wastara

on

Wastara-Juma-pics-533Leo Januari 02 ni kumbukumbu cha kifo cha Sajuki star aliyekuwa akitokea kiwanda cha filamu Bongo yaani Bongo movie,kumbukumbu zimefanyika nyumbani kwao Sajuki huko Songea,hiki ndicho alichokiandika mke wa Sajuki Wastara

Screenshot_2014-01-02-14-10-53‘Nani anaweza kunifanya nitabasamu kama wewe?iman yangu inasema hakuna lakini mungu pekee ndio anayenifanya nitabasam kupitia majaribu na maumivu ninayopitia ila hili la kukukosa wewe ni kubwa kuliko,inauma sana kupoteza faraja ni sawa na kupoteza mwelekeo wa maosha lakini mwaka umetimia bado nikiwa njia panda wewe ukiwa ndani ya mwandani lakini hatuonani mpaka kiyama,mungu akuifadhi inshallah’.

SAJUKI  NA WASTARAHayo ni maneno aliyoyandika muigizaji Wastara leo kwenye ukurasa wake wa Facebook ikiwa ni kumbukumbu ya kutimiza mwaka mmoja toka alipofariki marehemu Sajuki.

Tupia Comments