Tangaza Hapa Ad

AyoTV

WAZIRI MBARAWA: “Mtu akifanya upuuzi muondoeni”

on

Leo October 12 2017 kumefanyika semina endelevu ya 28 kwa wabunifu na wakadiriaji wa majengo ambapo Waziri wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa alikuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa semina hiyo.

Akizungumza na washiriki wa semina hiyo Waziri Mbarawa ameiagiza bodi ya wakandarasi kuwaondoa wakandarasi watakaokuwa wanajihusisha na rushwa

Ulikosa hii? ‘Watanzania wengi tunawalipa mshahara kamili kwa kazi nusu’-Waziri Mkuchika, Bonyeza play hapa chini kutazama

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement