Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHAZ: Waziri Mkuu Majaliwa na Spika Job Ndugai wamekutana kujadili maridhio

on

Ikiwa imesalia siku moja kabla ya mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja kuanza hapo kesho September 6 2016 leo Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Spika wa bunge Job Ndugai pamoja na viongozi wengine katika ofisi za bunge zilizopo Dodoma.

Naibu Spika Job Ndugai pia aliendesha kikao cha Kamati ya Uongozi kilichoketi kuridhia shughuli zitakazofanyika katika Mkutano wa Nne wa Bunge la Kumi na Moja unaotarajiwa kuanza kesho tarehe 06 Septemba 2016.

Hapa ninazo picha tano  wakati wa majadiliano hayo yalipokuwa yakifanyika..

PIC 4b

Spika wa bunge akiongoza kikao cha maridhiano

PIC1

Waziri mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Spika wa bunge Job Ndugai

PIC2

PIC3

Kutokea kushoto Waziri Jenista Mhagama, Spika wa bunge Job Ndugai na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

PIC4
ALICHOKIONGEA RAIS MAGUFULI KUHUSU MAALIM SEIF KUKATAA MKONO WA RAIS SHEIN

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement