Biko


Tangaza Hapa Ad

Mix

millardayo.com imerejea, sasa iko tayari baada ya maboresho

on

Kutokana na tatizo la kiufundi ambalo lilitokana na kuboresha zaidi website hii ya millardayo.com , haikua hewani kwa siku kadhaa, naomba sana radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza, kwa sasa imerejea na itaendelea kutoa habari kama kawaida.

 

Millard Ayo.

Tupia Comments

Advertisement