Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

PICHA 6: Wakali wa WCB walivyokutana na Rais mstaafu Kikwete nyumbani kwake

on

Sept 14, 2016 Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Mrisho Kikwete aliwaalika wasanii na viongozi kutoka kwenye lebel ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz nyumbani kwake kula chakula cha mchana na kuzungumza kuhusu kazi za muziki na maisha.

.

Rais mstaafu JK, mwimbaji Harmonize na mama Salma Kikwete

der45678

Rich Mavoko na Rais mstaafu JK

.

Diamond Platnumz na JK

.

Ikawa ni zamu ya Rayvanny

.

.

.

Meneja Sallam SK kwenye picha ya pamoja

ULIIKOSA HII YA SHETTA ALIVYOWAHI KUOSHA GARI LA STAR WA BONGO FLEVA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement