Top Stories

Mwanaume afia kwenye nyumba wanakojiuzia Wanawake Manzese DSM

on

Kupitia Hekaheka ya CloudsFM leo Nov 15, 207 Geah Habibu kainasa hii ya Mwanaume aliyekutwa kafariki ndani ya nyumba Wanawake wanakojiuza maeneo ya Manzese Dar es salaam, ikidaiwa kuwa chanzo cha kifo chake ni kutumia Dawa za kuongeza nguvu.

Mwanaume huyo ambaye ni Dereva Tax amekuwa akionekana anapaki Gari lake maeneo hayo na inasemekana alikuwa akiingia kwenye Nyumba ambazo wanajiuza Wanawake, alikutwa amelala kitandani akiwa hana nguo na aliposachiwa mfukoni alikutwa na vidonge vya kuongezea nguvu za kiume.

Bonyeza PLAY hapa chini kusikiza Full Story.

“NILITEKWA URUSI SABABU YA KUWA NA PESA NYINGI” – DR. LUIS MTAZAME KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments