Tangaza Hapa Ad

Videos

VideoMPYA: Matonya katuletea hii video yake ‘Sugua benchi’

on

Ni Msanii kutoka Bongoflevani, Matonya time hii katuletea hii video ya single yake mpya iitwayo ‘Sugua benchi’ , video imeongozwa na director Mims.

Unaweza ukabonyeza play kisha usisahau kutuandikia maoni yako ili mkali huyo akipita aone mlichokiandika kuhusu video hii yake mpya

ULIIKOSA HII YA WIZKID ALIVYOTUMBUIZA MOMBASA ROCKS MUSIC FESTIVAL BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement