Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

HekaHeka

HEKAHEKA: Wanafamilia wapigana kwenye ‘kitchen party’…kisa?

on

Leo sept 21, 2017 kupitia Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habibu ameifuatilia hii stori ya wanandungu waliochangia baba kugombania mali alizoacha baba yao baada ya kufariki 2007.

Inadaiwa kuwa dada yao mkubwa anagombania mali na kutaka kuuza nyumba aliyoiacha marehemu baba yao kwa shillingi milioni 30 na ikishindikana nyumba hiyo ipigwe mnada ili wagawane hela zitakazopatikana.

Wadogo zake wanaonyeshwa kushangazwa kwa tukio alilolifanya dada yao baada ya kuja na mabaunsa na mapolisi katika nyumba hiyo inayosemekana aliiacha baba yao ikiwa ni siku ya “kitchen party” ya mdogo wao na kutaka watoke nje ili nyumba iiuzwe.

Bonyeza play hapa chini ili kuweza kupata full story

Ulipitwa na hii? HEKAHEKA: Kamshika Komba, akafunikwa kwenye nyungu na Mganga

Soma na hizi

Tupia Comments