Tangaza Hapa Ad

fB insta twitter

Post za Wema Sepetu kuhusu Aunty Ezekiel baada ya kuchuniana muda mrefu.

on

Mrembo Wema Sepetu leo kupitia akaunti yake ya Instagram amefululiza kupost picha nyingi zikimuonyesha akiwa na Aunty Ezekiel kama ishara ya kumtakia heri kwa siku yake ya kuzaliwa lakini pia kwa kukumbukka urafiki wao.

Inasemekana warembo hao hawakuwa na ukaribu wa kirafiki hivi siku za karibuni kama awali,  hivyo leo Oct27 2016 ambapo ni siku ya kuzaliwa ya Aunt Ezekiel, Wema amepost picha hizo Instagram kwa kuandika maneno mazuri ya upendo na amekiri kuwa amekuwa akiumiss urafiki wao na bado anampenda kama mwanzo na hakuna chochote kilichobadilika kwenye mapenzi yake kwake.

Hizi ni baadhi ya picha alizopost Wema ili kumtakia Aunty Ezekiel heri ya siku ya kuzaliwa

wema

weeema

 

aunty

wemaaa

wemazekiel

Wewe pia Unaweza kuniachia ujumbe kwa Aunt Ezekiel katika siku yake hii ya kuzaliwa mtu wangu. Unaweza pia kuziona picha nyingine nyingi kwenye ukurasa wa Instagram wa Wema  @wemasepetu

KAMA ULIMISS ALICHOKISEMA MATONYA ALIPOACHIA NGOMA MPYA BAADA YA KIMYA KIREFU KWENYE GAME UNAWEZA KUBONYEZA PLAY HAPA CHINI>>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement