Biko


Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

ULIWAMISS Alikiba na Abdukiba kwenye kolabo ya pamoja? wanatuletea hii

on

Baada ya kimya cha muda mrefu wakali kutokea Bongoflevani Alikiba na Abdukiba ambao ni ndugu wa damu wameamua kurudi tena kwenye headlines za bongofleva baada ya kujiandaa kuachia wimbo wao mpya.

Uthibitisho wa kuachia wimbo huo umepatikana baada ya Alikiba na Abdukiba kupost kupitia mitandao yao ya Instagram kwa kuahidi kuwa wataachia Audio na Video kwa pamoja siku ya Alhamisi hii, ambapo Abdukiba ameandika…>>>“The long wait is almost over!!!!King’s Music presents @officialabdukibaanew single featuring @officialalikiba – Audio & Video zinadondoka Alhamisi hii. Subscribe to AbduKiba youtube channel uwe wa kwanza kuiona video ya #Singledirected by @hanscana_#SupportedByKiba#KingKiba..” – Abdukiba

Dogo Janja alipoulizwa kwanini hakumsindikiza Uwoya Rwanda?

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement