MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

beef

Jibu la Wema Sepetu baada ya kuulizwa kuhusu taarifa za kupigana na Kajala (+audio)

on

Kwa zaidi ya siku nne ni stori ambayo ime-trend kwenye magazeti, habari za burudani kwenye Radio na hata kwenye mitandao mbalimbali.. ni ishu ya Waigizaji wawili waliokua marafiki lakini sasa hawaelewani.

Iliripotiwa na mitandao mbalimbali kwamba wawili hawa walipigana walipokutana kwenye kiwanja cha starehe ambapo ripota wa millardayo.com alipomtafuta Kajala alionekana kutokua na furaha, kwa lugha ya kipole akaomba aachwe kidogo na ataiongelea hii ishu siku nyingine.

Wema Kajala

Wema Sepetu alipatikana lakini akatoa maneno machache tu baada ya kuulizwa ni kweli ugomvi wake na Kajala ulifikia mpaka kupigana na kurushiana chupa wakiwa kwenye kiwanja cha starehe usiku, Wema akajibu >>> ‘Hapana bwana, hakuna kitu kama hicho, hamna kitu kama hicho… mimi sio drama Queen, siko kwenye level hiyo

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments