DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi ya Mobetto dhidi ya Diamond, Wakili wa Hamisa kafunguka tena

on

AyoTV na millardayo.com zinae Wakili Walter Goodluck ambae ni Wakili wa Hamisa Mobetto kwenye kesi dhidi ya Mwimbaji staa wa Bongofleva Diamond Platnumz ambapo amefunguka baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo.

Goodluck amesema “Kimsingi shauri halijafutwa na kimsingi sio kwamba Hamisa Mobetto ameshindwa hiyo kesi bali kilichotokea ni maswala ya uchapaji, kuna makosa ya kiuchapaji yalitokea na wenzetu wa upande wa pili wanaomuwakilisha Diamond waliweka pingamizi la kisheria kutokana na yale makosa ya uchapaji”

Unaweza kumsikiliza zaidi Wakili Goodluck kwa kubonyeza play hapa chini

SIKU YA KUIPOKEA NGOMA MPYA YA DIAMOND NA RICK ROSS… BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUPATA STORI KAMILI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement