Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Wema Sepetu aeleza sababu zilizomfanya kufuta picha zote Instagram (+ video)

on

AyoTV Entertainment imempata kwenye EXCLUSIVE Wema Sepetu akielezea kwanini alifuta picha zote Instagram na headlines za habari za mastaa zikasema ni sababu ya matusi kumuandama.

Wema ameiambia AyoTV kwamba ukurasa wake wa mtandao huo wa kijamii ulikua umechafuka sana yani hakukua na kiwango kwenye page yangu, mtu angetoka nje ya nchi alafu atake kuona Wema anafafanaje asingejua, unaweza kumtazama Wema akiongea kwenye hii video hapa chini

ULIPITWA? Tazama hapa chini WEMA SEPETU akisema KWANINI HATOMSAMEHE KAJALA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement