Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Picha nyingine za Wema Sepetu Mahakamani Kisutu Dsm

on

Leo kwenye Mahakama ya hakimu mkazi kisutu Dar es salaam alifikishwa Mwigizaji Wema Sepetu ambaye kuanzia wiki iliyopita alikua akishikiliwa na jeshi la Polisi kwenye sakata la dawa za kulevya.

Mahakamani Kisutu leo imekubali kutoa dhamana ya mwigizaji huyo ambapo imehusu Wadhamini wawili na milioni 5 ambapo pia tarehe 22 mwezi huu anarudi tena Mahakamani kusikiliza majibu ya Mkemia Mkuu wa Serikali kujua kama ni mtumiaji wa dawa za kulevya.

Mwigizaji Shamsa Ford ni miongoni mwa Marafiki wa Wema Sepetu waliojitokeza Mahakamani

Wema Sepetu mbele ya Waandishi

Wakili wa Wema Sepetu Albert Msando mwenye suti na tai nyekundu

VIDEO: Ulipitwa na Birthday ya Wema Sepetu na Range Rover aliyojizawadia? tazama kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Wema Sepetu, T.I.D na wengine walivyoingia Polisi baada ya kutajwa kwenye list ya Paul Makonda, tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement