Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Breaking News

BREAKING: Wema Sepetu atangaza kuondoka CHADEMA, arudi CCM

on

Baada ya miezi ya Mwigizaji Wema Sepetu kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akitokea CCM, leo Miss Tanzania huyu wa mwaka 2006 ametangaza kurudi CCM.

Ameandika maneno yafuatayo >>> “Siwezi kuendelea kuishi kwenye Nyumba inayo nikosesha amani… Peace of mind is everything for me… Natangaza Rasmi kuondoka Chadema na Kurudi Nyumbani…. #ThereIsNoPlaceLikeHome… Feels good to be Back…”

ULIPITWA? HII HAPA CHINI NI VIDEO YA WEMA SEPETU ALIVYOTANGAZA KUHAMIA CHADEMA

VIDEO: WEMA SEPETU ASEMA ALIKIBA NA DIAMOND NI WENDAWAZIMU…

Soma na hizi

Tupia Comments