Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Maneno ya Wema Sepetu >>> ‘Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa (Kidding)’

on

Mwigizaji staa wa bongomovie ambaye jina lake linatajwa sana sasa hivi midomoni mwa Watanzania baada ya kutajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa kwa tuhuma za utumiaji wa dawa za kulevya, ametuletea APP yake ambayo itakua na habari zake zote.

Kwenye post Wema Sepetu aliyoweka kuhusu hiyo APP yake aliandika yafuatayo >>> ‘Mabibi na mabwana….. Application yangu ndio hii itayoniweka karibu nanyi kuliko ulivyodhani, download kwenye  Playstore na usisahau ku-subscribe…. Everything Wema’

Oh yes na kile kipindi chenu mkipendacho mtakikuta hukohuko….. lakini kwa sasa unaweza kui-download haraka na usikie nina nini cha kusema kuhusu hizi habari za leo, nina kitu cha kusema…….. na kusikia, ingia playstore u-download Wema Sepetu

Subscribe alafu pata kuskia na kujionea meeeengiii… ukimya Mwingi Rahaaa..???.. Endiwooo Mtumia unga mimi atleast najua kutumia na fursa…??? (Kidding) So that special thing y’all have been waiting for is Finally here…. Enjoy it….’

‘#WSSoCloseToYou #WSyourAddiction …. NB… This is Only for Android Users for the Time Being, wale wapenda Iphone kama mimi Its Coming Soon….. Dont forget one Thing, Nawapenda Sana…!?…. Na hii sio Tanzania tu jamani…. Ni Worldwide aslong as una Playstore…. Yaani inshort na sisi tuna application Yetu kama vile Instagram na Games or whatever…. Oh Lord…!??????…. Im Thankful, Grateful…. I feel blessed wallahy…!!!??’ <<<< alimalizia kuandika Wema Sepetu.

ULIPITWA? Birthday ya Wema Sepetu na Range Rover aliyojizawadia….. tazama kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement