Tangaza Hapa Ad

Michezo

Maamuzi ya Man City kwa ajili ya kumuokoa Aguero na adhabu

on

Klabu ya Manchester City ya England leo September 1 2016 imetangaza kumtetea mshambuliaji wake wa kimataifa wa Argentina Sergio Aguero kutokana na kudaiwa kumpiga kiwiko kwa makusudi Winston Reid wa West Ham United wakati wa mchezo dhidi yao.

Man City inamtetea Aguero kumuokoa na adhabu ya kufungiwa mechi tatu hiyo itakayofuatia kama chama cha soka cha England FA itamkuta na hatia ya kosa la kumpiga kiwiko kwa makusudi Winston Reid.

_90966260_reid_getty

Sergio Aguero ambaye anakosekana katika kikosi cha timu ya taifa ya Argentina kitakachocheza michezo ya kuwani kufuzu Kombe la Dunia, kama akikutwa na hatia atakasa mchezo dhidi ya wapinzania wao Man United September 10, mchezo wa EFL Cup dhidi ya Swansea City na mchezo wa EPL dhidi ya AFC Bournemouth.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement