Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

VIDEO: Alichozungumza Harmonize kuhusu kuachana na Jackline Wolper

on

Kumekua na taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii juu ya kuachana kwa Jackline Wolper na Harmonize na hii ni baada ya Jackline Wolper kumpost Harmonize kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno yaliyoashiria kuwa wawili hao hawawezi kuendelea na mahusiano yao.

wolper2

Post ya Wolper juu ya kusitisha mahusiano yake na Harmonize

AyoTV na Millardayo.com imempata Harmonize kwenye Exclusive Interview ili aweze kuongelea ishu hii na  yeye amesema..

>>>’Mimi sijui, naona tu vitu vinavyoendelea ila mimi sijampost wala sijaongelea chochote popote pale so naona ni mageni kwangu mimi nadhani ni kitu kizuri kama mkimtafuta mwenyewe muhusika na kumuuliza mimi ukiniuliza unanionea’Harmonize

Video: Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto >>>

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement