Tangaza Hapa Ad

Michezo

Takwimu za Chelsea zilizomuwezesha Antoine Conte na Hazard kushinda tuzo

on

Kocha wa Chelsea Antoine Conte na kiungo wake Eden Hazard wametangazwa washindi wa tuzo za EPL za mwezi October, Conte ametangazwa mshindi wa tuzo ya kocha bora wa mwezi October na Eden Hazard ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi.

3a835a1500000578-3949156-chelsea_boss_antonio_conte_won_premier_league_manager_of_the_mon-a-12_1479469593722

Antoine Conte

Antoine Conte ameiongoza Chelsea kucheza mechi nne mwezi October na kufanikiwa kushinda mechi zote nne, wakifunga jumla ya magoli 11 na kutoruhusu kufungwa goli hata moja, huku Hazard akifunga magoli matatu na kutoa assist ya goli moja.

screen-shot-2016-11-18-at-3-37-31-pm

Takwimu za Hazard mwezi October

Ushindi wa tuzo hiyo ya mwezi kwa Conte unamfanya kuwa kocha wa sita wa Chelsea kuwahi kushinda tuzo hiyo baada ya Claudio Ranieri, Jose Mourinho, Avram Grant, Carlo Ancelotti na Rafa Benitez.

screen-shot-2016-11-18-at-3-37-45-pm

Takwimu za jumla za Chelsea kwa mwezi October

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement