Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya Zimbabwe vs Taifa Stars November 13 2016, Full Time 3-0

on

November 13 2016 timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikuwa mgeni wa timu ya taifa ya Zimbabwe Warriors katika uwanja wa Zimbabwe National Sports, Zimbabwe, katika mchezo huo Tanzania ilipoteza kwa goli 3-0, magoli yakifungwa na Knowledge Musona dakika ya 9, Mathew Rusike dakika ya 54 na Nyasha Mushekwi dakika ya 57.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement