Tangaza Hapa Ad

Michezo

VIDEO: Ushindi wa 6-1 wa Liverpool dhidi ya Watford EPL leo Nov 6 2016

on

Majogoo wa jiji la Liverpool leo wamecheza mchezo wao wa 11 wa Ligi Kuu England dhidi ya Watford katika dimba lao la Anfield, Liverpool wakiwa kwao wamefanikiwa kuwaadhibu Watford kwa jumla ya goli 6-1.

Ushindi dhidi ya Watford umeifanya Liverpool kufikisha jumla ya point 26 tofauti ya point moja na Chelsea anayeshika nafasi ya pili katika msimamo akiwafutia Liverpool.

ALL GOALS: Simba vs Toto Africans October 23 2016, Full Time 3-0

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement