Top Stories

“Nimesikia Rais Magufuli atamaliza miaka 10 hakuna kilichofanyika”-Munde Tambwe

on

Ni zamu ya Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Tabora Munde Tambwe aliyesimama Bungeni November 7, 2018 wakati akichangia mapendekezo yake katika mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa taifa unaokusudiwa kutekelezwa na Serikali pamoja na kuandaa mpango wa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2019/20 ambapo amewajibu baadhi ya wanasiasa wanaosema kuwa Rais Magufuli hajafanya lolote la maendeleo katika uongozi wake.

“Nimesikia kuna Mbunge amesema Rais Magufuli atamaliza miaka 10 hakuna kilichofanyika, Aisee! Amenishangaza sana. Mimi niwaambieeni mchukue kalamu na karatasi niwaambie Rais Magufuli ikifika 2020-2025 hatasahaulika katika nchi hii. Andikeni msinitazame”-Munde

Polisi imewakamata ‘Mashoga’ kumi wakisheherekea ‘harusi ya kishoga’

 

Soma na hizi

Tupia Comments