Top Stories

Muonekano wa Mbowe na Matiko baada ya kusota Mahabusu (+video)

on

Leo March 14, 2019 Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe na Mbunge Esther Matiko wamefika Mahakamani kuhudhuria katika kesi inayowakabaili nimekuweka dakika mbili video uone muonekano wa Mbowe na Matiko baada ya kutoka Mahabusu.

JIPYA LA RC MWANRI “UNAPATA MSHAWASHA, MTEKENYO ANAKIMBIA KAMA JOGOO”

Soma na hizi

Tupia Comments