Top Stories

UFAFANUZI: Gumzo la kampuni ya Vijana Watanzania iliyoanzia Whatsapp

on

Kuna picha ilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii hasa Whatsapp kuanzia jana ikionyesha picha ya Wakurugenzi vijana wa Kitanzania walioanzisha kampuni kupitia group la Whatsapp na sasa wanamiliki hekari Elfu tatu za shamba la Miwa Morogoro.

Baada ya habari hiyo kusambaa, wengine walipongeza na wengine walihoji kwanini Vijana hawa wapewe hekari zote hizo elfu tatu, ukweli ni upi? nini kinaendelea? Mmoja wa Wakurugenzi wake Advocate Onesmo Mpinzile ameongea, bonyeza play hapa chini kumsikiliza

Soma na hizi

Tupia Comments