Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Watu wa Kagera baada ya kukuta Benki yao imefungiwa na BOT leo

on

Leo January 4, 2018 Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Benno Ndulu ametangaza kuzifungia Benki tano nchini ikiwemo benki ya Kagera Farmer”s Cooperatives Bank Limited kutojihusisha na shughuli zozote za kibenki.

Ayo Tv na millardayo.com imeongea baadhi wateja wa Benki hiyo na kueleza kilio chao, wengi wao wamelalamika kuwa imekuwa taarifa ya ghafla maana wamefika kwenye Benki hiyo kwa ajili ya kupata huduma lakini wameshangaa kukuta tangazo la kufungwa kwa Benki hiyo.

BREAKING: BENKI KUU YA TANZANIA IMEZIFUNGIA BENKI TANO

BARUA ALIYOIPOKEA LEO JPM TOKA KWA RAIS MUSEVENI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

 

Soma na hizi

Tupia Comments