Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha 20 za Wakenya waishio Tanzania wakipiga kura Dar es Salaam leo

on

Raia wa Kenya wanaoishi Tanzania wameungana na wenzao wa Kenya katika kushiriki zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo unaofanyika leo August 8, 2017 ambapo kwa Wakenya walioko katika Jiji la Dar es Salaam wametekeleza zoezi hilo katika Ofisi za Ubalozi wa Kenya nchini Tanzania.

Nimekusogezea picha 20 za baadhi ya Wakenya wanaoishi Tanzania wakipiga kura…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement