DSTV

Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Natamani kuona BEEF zinazochangamsha muziki” – Nay Wa Mitego

on

Moja ya ishu ambazo zimekuwa zikijadiliwa kila siku hasa katika muziki wa Bongofleva ni kuhusu beef ambazo mara nyingi zimekuwa zikiwafanya baadhi ya wasanii kuingia katika malumbano kwa kurushiana maneno machafu na wakati mwingine hata kutungiana mashairi kwa ajili ya kutambiana.

Ayo TV na millardayo.com zimemtafuta mwimbaji staa wa Bongofleva ambaye mara kadhaa amekuwa akidaiwa kuingia kwenye migogoro na wasanii wengine kutokana na nature ya nyimbo zake, Nay Wa Mitego ‘True Boy’ ambaye kaulizwa kuhusu beef na kutoa majibu.

Wakazi kaelezea alivyoguswa na tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement