Tangaza Hapa Ad

Top Stories

UBUNIFU: Mtanzania ameweza kutengeneza spika zenye jina lake

on

Wilgrand Lubida ambaye ni kijana wa Kitanzania na mhitimu wa Chuo Kikuu akiwa na Shahada ya Ualimu aliamua kuachana na fani hiyo kwa kuona sio kitu anachokipenda na kuamua kuanza kufanya kazi ya ubunifu wa spika kama biashara.

Kijana huyu alianza kwa kusuka spika kisha akaanza kuchoka boksi na baadae akaanza kusuka sakiti na kuanza kutengeneza amplifaya.

“Brand yangu ni Wicalu na inasimama kwa majina yangu ambayo ni Wilgrand Casto Lubida na ninatengeneza spika za muundo wa subwofer”

Ulipitwa na hi? Kama una mpango wa kulima mbogamboga, kuna hii ya kufahamu

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement