Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Geah Habib kainasa ishu ya mzazi aliyemchapa fimbo Daktari (+Hekaheka)

on

Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM leo September 4, 2017 imetokea Karagwe ambako unaambiwa kuna mtu mmoja anayedaiwa kumchapa fimbo Daktari akidai kuwa alichelewa kumhudumia mgonjwa aliyempeleka Hospitalini hapo.

Imeelezwa kuwa mtu huyo alimpeleka mtoto wake aliyekuwa anaugua Hospitalini na walipofika hawakumkuta Daktari hivyo kuamua kumfuata nyumbani kwake na kumueleza walihitaji huduma na kujibiwa kuwa anakuja.

Imedaiwa baada ya kusubiri kwa zaidi ya saa bila daktari kufika mtu huyo alimfuata tena kwa hasira na kuanza kumchapa.

Bonyeza Play hapa chini kupata taarifa kamili….

Hekaheka ya aliyemvunja mguu mtoto wa jirani yake kisa kuku

Soma na hizi

Tupia Comments