Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

“Kuwa Miss TZ haimaanishi kila kitu ni rahisi” – Genevieve, kawataja Mimi Mars & Lulu Diva

on

Miss Tanzania 2010 Genevieve Mpangala ambaye amegeukia Bongofleva ambapo baada ya ukimya wake wa muda mrefu tangu alipoachia wimbo wake ‘Nana’ uliofanya vizuri kwenye media mbalimbali amekaa na Ayo TV na kutueleza mipango yake kwenye muziki.

>>>“Mpaka sasa hivi suala la muziki hasa huu mziki wa Bongofleva hapa ushindani ni mkubwa. Hata nisingekua Miss Tanzania ushindani ungekua ule ule. Changamoto zipo na zinatokea kwenye ushindani. Wasanii wa kike nilioelewa kazi zao ni pamoja na Mimi Mars, Lulu Diva.” – Genevieve.

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza FULL STORY.

VIDEO: Miss Tanzania 2010 Genevieve aelezea kwanini kaanza kufanya Bongofleva

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement