PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Habari za Mastaa

DC JOKATE atoa Millioni moja kwa wahanga wa MV Nyerere

on

Siku ya September 22, 2018 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo alialika wadau mbalimbali kwa ajili ya harambee ya uchangiaji wa kampeni ya ‘Tokomeza Ziro’ iliyoandaliwa Wilayani humo kwa lengo la kusaidia ufaulu wa wanafunzi.

Sasa kutokana na kuwa Taifa lipo kwenye Maombolezo ya Msiba wa watu waliopata ajali ya kuzama kwa kivuko cha MV NYERERE huko Ukerewe, Serikali ya Wilaya ya Kisarawe waliamua kuhairisha shamrashamra za Harambee hiyo ambapo walisimama na kuombea waliopoteza maisha lakini pia kutoa faraja kwa kuchangia Milioni Moja kama rambirambi.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Video

VIDEO: Msanii Malaika abeba gunia la mchele na maharage mpaka kwa Jokate, Kisarawe

ESMA: “Watu hawajui mimi na Petii tumeachana muda mrefu niko Single”

Makeup ya Wema Sepetu simchezo inagharimu mpaka Laki moja kwa siku

Soma na hizi

Tupia Comments