Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

VIDEO: Waandishi wa Algeria walivyozuia basi la timu yao kwa furaha ya ushindi

on

Waandishi kutokea taifa la Algeria wameonesha kuanza kuwa na matumaini makubwa na timu yao kufuatia ushindi wa penati 4-3 dhidi ya Ivory Coast unaowapeleka nusu fainali baada ya sare ya 1-1, licha ya baadhi yao kutoa machozi wakati wa ushindi huo wakionesha kutokuamini kilichotokea.

Baada ya mchezo kumalizika wengi wao walienda mbele ya basi la wachezaji wa timu yao na kuanza kufurahi na kurekodi kwa ushindi huo, hiyo ikiwa ni sehemu ya kuonesha matumaini yao kuwa wanaweza kutwaa taji lao la kwanza la AFCON baada ya miaka 29.

VIDEO: Mtangazaji wa Ennahar TV amwaga machozi Algeria ikitinga nusu fainali AFCON

Soma na hizi

Tupia Comments