Top Stories

Malumbano ya Nape yahamia kwenye ‘bao la mkono’

on

Leo June 12, 2018 nakusogezea stori kutoka kwa Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ambaye anaendelea kutetea uamuzi wa kuandika katika Twitter yake kuhusu kuzimwa kwa Jamii Forum ambapo sasa amesema asilaumiwe kwa sheria ya mtandao ila alaumiwe kwa ‘bao la mkono’.

“Naomba turudishe visu vyetu kwenye ala, namaanisha nilaumiwe kwa kuasisi usemi wa “bao la mkono. Simjui na siamini kama kuna aliyefunga bao la mkono mwaka 2015. Mimi mwenyewe nilibanwa Mtama kampeni nzima na kuponea chupuchupu. Rudisheni VISU kwenye ALA” ameandika Nape katika akaunti yake ya Twitter.

Lakini katika Tweet nyingine Mbunge huyo ameandiaka kuwa “Nilaumuni kwa “bao la mkono sio kwa hili la JF”.

RPC “Alimtembezea kipigo hadi akazirai, asubuhi alikutwa amefariki”

Soma na hizi

Tupia Comments