AyoTV

“Sijaona hata mchezaji mmoja mwenye akili kama Ajib”-Kocha wa Yanga

on

October 20 2018 Yanga ilicheza game yake ya saba ya Ligi Kuu Tanzania bara dhidi ya Stand United uwanja awa Taifa Dar es Salaam, Yanga ikiwa katika uwanja huo imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-0.

Magoli ya Yanga yakifungwa na Makambo dakika ya 18, Ngassa dakika ya 25 na Ibrahim Ajib aliyefunga goli la tatu dakika ya 86, goli la Ajib la leo limerudi kwenye headlines tena na baada ya game kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliulizwa na waandishi wa habari kuwa ni siri gani kampa Ajib.

Rais JPM alivyowaita Taifa Stars Ikulu “Tukishindwa mtazitapika”

Soma na hizi

Tupia Comments