AyoTV

Hiki ndio kitu ambacho Stamina hakubaliani na kocha wa Chelsea

on

Baada ya kuenea kwa tetesi kuwa kiungo wa kimataifa wa Ufaransa anayeichezea club ya Chelsea Ng’olo Kante kuwa hana furaha katika club hiyo kocha wake Maurizio Sarri alifunguka jana kuhusiana na kichodaiwa kumnyima raha Kante kwa kumchezesha nafasi ambayo hana furaha nayo.

Kante iloripotiwa kuwa hana furaha katika club hiyo akiwa chini ya Kocha Maurizio Sarri kwa sababu hampangi nafasi aliyozoea kuicheza ya kiungo mkabaji, tunajua msanii wa Bongofleva Stamina ni shabiki mkubwa wa soka japokuwa yeye sio shabiki wa Chelsea anaishabikia FC Barcelona

Lakini tumemuuliza mawazo ya kocha Sarri kumbadili namba Kante yeye ameyapokeaji anaungana nae? vipi kuhusiana na tetesi za kufutwa kazi na nafasi yake apewe Zidane ni sawa? Stamina ameongea kwa kirefu na ameeleza kuwa kwa kifupi haini kama ni sahihi kwa Sarri kumbadilishi majukumu ya uchezaji N’golo Kante.

Kocha wa Yanga Mwinyi Zahera kataja walichozidiwa wachezaji wake na Simba

Soma na hizi

Tupia Comments