PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

AyoTV

Mtanzania leo kajichukulia Tsh milioni mbili kiulaini tu, wiki ijayo tena

on

Bank ya CRDB imezidi kuendelea kuboresha huduma zake na kurudisha fadhila kwa wateja wake, kwani safari hii kupitia promotion yao ya Sim Account imeendeleza na utaratibu wa kugawa zawadi ya pesa kwa wateja wanaotumia huduma ya Sim Account.

CRDB kwa sasa inaendesha promotion ya Sim Account na kwa kujisali tu kwa kubonyeza *150*62# na kufuata maelezo, basi namba yako moja kwa moja inaingia katika shindano la kushinda pesa kuanzia laki moja, milioni moja na milioni mbili kila wiki katika kutoa washindi 12.

Ni rahisi zaidi kujisajili na Sim Account kama ukiwa na kitambulisho chako cha Uraia mkononi, hauhitaji kwenda mahali popote ni nyumbani kwako tu unabonyeza *150*62# kisha unafuata maelekezo ya kujisajili na huduma hiyo ambayo ni rahisi kutumia na salama kwa kufanya manunuzi.

Bonyeza PLAY kuona Mtanzania aliyejishindia Tsh Milioni 2 wiki hii

Walichokiamua uongozi wa Simba SC na benchi la ufundi kuhusu MO Dewji

Soma na hizi

Tupia Comments